Native Bible

Job 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nchi ya giza kuu sana, yenye uvuli wa giza na machafuko, mahali ambapo hata nuru ni giza.”

Job 10:22 in English

Job 10:22 · Berean Standard Bible

to a land of utter darkness, of deep shadow and disorder, where even the light is like darkness.”

Context

20Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi 21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 22nchi ya giza kuu sana, yenye uvuli wa giza na machafuko, mahali ambapo hata nuru ni giza.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.