Ayubu 10:21
Job 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, katika nchi ya giza na uvuli wa mauti,
Job 10:21 in English
Job 10:21 · Berean Standard Bible
before I go—never to return— to a land of darkness and gloom,
Context
19Laiti nisingekuwako kamwe,
au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja
kutoka tumboni kwenda kaburini! 20Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha?
Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi 21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena,
katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 22nchi ya giza kuu sana,
yenye uvuli wa giza na machafuko,
mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.