Native Bible

John 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walimuuliza swali hili kama mtego ili wapate sababu ya kumshtaki. Lakini Yesu akainama akaanza kuandika ardhini kwa kidole chake.

John 8:6 in English

John 8:6 · Berean Standard Bible

They said this to test Him, in order to have a basis for accusing Him. But Jesus bent down and began to write on the ground with His finger.

Context

4Wakamwambia Yesu, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini. 5Katika sheria, Mose alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?” 6Walimuuliza swali hili kama mtego ili wapate sababu ya kumshtaki. Lakini Yesu akainama akaanza kuandika ardhini kwa kidole chake. 7Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.” 8Akainama tena na kuandika ardhini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.