Yohana 8:7
John 8:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
John 8:7 in English
John 8:7 · Berean Standard Bible
When they continued to question Him, He straightened up and said to them, “Let him who is without sin among you be the first to cast a stone at her.”
Context
5Katika sheria, Mose alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?” 6Walimuuliza swali hili kama mtego ili wapate sababu ya kumshtaki.
Lakini Yesu akainama akaanza kuandika ardhini kwa kidole chake. 7Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.” 8Akainama tena na kuandika ardhini. 9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.