Yohana 6:36
John 6:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini.
John 6:36 in English
John 6:36 · Berean Standard Bible
But as I stated, you have seen Me and still you do not believe.
Context
34Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” 35Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kamwe na yeye aniaminiye, hataona kiu kamwe. 36Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini. 37Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuzia nje kamwe. 38Kwa kuwa nimeshuka kutoka mbinguni si ili kufanya mapenzi yangu, bali mapenzi yake yeye aliyenituma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.