Native Bible

John 6:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.”

John 6:34 in English

John 6:34 · Berean Standard Bible

“Sir,” they said, “give us this bread at all times.”

Context

32Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, si Mose aliyewapa mikate kutoka mbinguni, bali Baba yangu ndiye anawapa mkate wa kweli kutoka mbinguni. 33Kwa maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.” 34Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.” 35Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kamwe na yeye aniaminiye, hataona kiu kamwe. 36Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.