Yohana 5:33
John 5:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mlituma wajumbe kwa Yohana, naye akashuhudia juu ya kweli.
John 5:33 in English
John 5:33 · Berean Standard Bible
You have sent to John, and he has testified to the truth.
Context
31“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. 32Lakini yuko mwingine anishuhudiaye na ninajua kwamba ushuhuda wake ni wa kweli. 33“Mlituma wajumbe kwa Yohana, naye akashuhudia juu ya kweli. 34Si kwamba naukubali ushuhuda wa mwanadamu, la, bali ninalitaja hili kusudi ninyi mpate kuokolewa. 35Yohana alikuwa taa iliyowaka na kutoa nuru, nanyi kwa muda mlichagua kuifurahia nuru yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.