Native Bible

John 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.

John 5:31 in English

John 5:31 · Berean Standard Bible

If I testify about Myself, My testimony is not valid.

Context

29Nao watatoka nje, wale waliotenda mema watafufuka wapate uzima na wale waliotenda maovu, watafufuka wahukumiwe. 30“Mimi siwezi kufanya jambo lolote peke yangu. Ninavyosikia ndivyo ninavyohukumu, nayo hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi yangu mwenyewe, bali mapenzi yake yeye aliyenituma. 31“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. 32Lakini yuko mwingine anishuhudiaye na ninajua kwamba ushuhuda wake ni wa kweli. 33“Mlituma wajumbe kwa Yohana, naye akashuhudia juu ya kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.