Yohana 5:32
John 5:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yuko mwingine anishuhudiaye na ninajua kwamba ushuhuda wake ni wa kweli.
John 5:32 in English
John 5:32 · Berean Standard Bible
There is another who testifies about Me, and I know that His testimony about Me is valid.
Context
30“Mimi siwezi kufanya jambo lolote peke yangu. Ninavyosikia ndivyo ninavyohukumu, nayo hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi yangu mwenyewe, bali mapenzi yake yeye aliyenituma. 31“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. 32Lakini yuko mwingine anishuhudiaye na ninajua kwamba ushuhuda wake ni wa kweli. 33“Mlituma wajumbe kwa Yohana, naye akashuhudia juu ya kweli. 34Si kwamba naukubali ushuhuda wa mwanadamu, la, bali ninalitaja hili kusudi ninyi mpate kuokolewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.