Native Bible

John 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”

John 3:9 in English

John 3:9 · Berean Standard Bible

“How can this be?” Nicodemus asked.

Context

7Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’ 8Upepo huvuma popote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.” 9Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” 10Yesu akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya? 11Amin, amin ninakuambia, sisi tunazungumza lile tunalolijua na tunashuhudia lile tuliloliona. Lakini ninyi watu hamkubali ushuhuda wetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.