Native Bible

John 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’

John 3:7 in English

John 3:7 · Berean Standard Bible

Do not be amazed that I said, ‘You * must be born again.’

Context

5Yesu akamwambia, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu yeyote anayeweza kuingia Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa kwa maji na kwa Roho. 6Mwili huzaa mwili, lakini Roho huzaa roho. 7Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’ 8Upepo huvuma popote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.” 9Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.