Native Bible

John 21:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakikokota ule wavu uliyojaa samaki, maana hawakuwa mbali na nchi kavu, ilikuwa yapata dhiraa 200*

John 21:8 in English

John 21:8 · Berean Standard Bible

The other disciples came ashore in the boat. They dragged in the net full of fish, for they were not far from land, only about a hundred yards.*

Context

6Akawaambia, “Shusheni nyavu upande wa kuume wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.” Wakashusha nyavu na tazama wakapata samaki wengi mno hata wakashindwa kuvutia zile nyavu zilizojaa samaki ndani ya mashua. 7Yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu akamwambia Petro, “Huyu ni Bwana!” Simoni Petro aliposikia haya, akajifunga nguo yake kwa kuwa alikuwa uchi, naye akajitosa baharini. 8Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakikokota ule wavu uliyojaa samaki, maana hawakuwa mbali na nchi kavu, ilikuwa yapata dhiraa 200* 9Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate. 10Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya hao samaki mliovua sasa hivi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.