Yohana 20:12
John 20:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye akaona malaika wawili wamevaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa Yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja upande wa kichwani na mwingine upande wa miguuni.
John 20:12 in English
John 20:12 · Berean Standard Bible
and she saw two angels in white sitting where the body of Jesus had lain, one at the head and the other at the feet.
Context
10Kisha hao wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao. 11Lakini Maria Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama, kuchungulia mle kaburini, 12naye akaona malaika wawili wamevaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa Yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja upande wa kichwani na mwingine upande wa miguuni. 13Wakamuuliza Maria, “Mwanamke, mbona unalia?”
Akawaambia, “Nalia kwa kuwa wamemchukua Bwana wangu na sijui walikomweka.” 14Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Yesu amesimama, lakini hakumtambua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.