Yohana 20:10
John 20:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha hao wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao.
John 20:10 in English
John 20:10 · Berean Standard Bible
Then the disciples returned to their homes.
Context
8Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini naye akaingia ndani, akaona, akaamini, 9(kwa kuwa mpaka wakati huo walikuwa bado hawajaelewa kutoka Maandiko kwamba ilikuwa lazima Yesu afufuke kutoka kwa wafu). 10Kisha hao wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao. 11Lakini Maria Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama, kuchungulia mle kaburini, 12naye akaona malaika wawili wamevaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa Yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja upande wa kichwani na mwingine upande wa miguuni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.