Native Bible

John 19:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe.

John 19:16 in English

John 19:16 · Berean Standard Bible

Then Pilate handed Jesus over to be crucified, and the soldiers took Him away.

Context

14Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!” 15Wao wakapiga kelele, “Mwondoe! Mwondoe! Msulubishe!” Pilato akawauliza, “Je, nimsulubishe mfalme wenu?” Wale viongozi wa makuhani wakamjibu, “Sisi hatuna mfalme mwingine ila Kaisari.” 16Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe. 17(16) Kwa hiyo askari wakamchukua Yesu. (17) Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha). 18Hapo ndipo walipomsulubisha. Pamoja naye walisulubisha watu wengine wawili, mmoja kila upande wake, naye Yesu katikati.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.