Native Bible

John 16:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.

John 16:1 in English

John 16:1 · Berean Standard Bible

“I have told you these things so that you will not fall away.

Context

1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani. 2Watawatenga na masinagogi. Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu. 3Nao watawatenda haya kwa sababu hawamjui Baba wala mimi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.