Native Bible

John 12:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa.

John 12:33 in English

John 12:33 · Berean Standard Bible

He said this to indicate the kind of death He was going to die.

Context

31Sasa ni saa ya hukumu kwa ajili ya ulimwengu huu, sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje. 32Lakini mimi, nikiinuliwa kutoka nchi, nitawavuta watu wote waje kwangu.” 33Yesu aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa. 34Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo* adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?” 35Ndipo Yesu akawaambia, “Bado kitambo kidogo nuru ingalipo pamoja nanyi. Enendeni maadamu mna nuru, msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui anakokwenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.