Native Bible

John 10:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao wengi wakamwamini Yesu huko.

John 10:42 in English

John 10:42 · Berean Standard Bible

And many in that place believed in Jesus.

Context

40Akaenda tena ngʼambo ya Mto Yordani mpaka mahali pale ambapo Yohana alikuwa akibatiza hapo awali, naye akakaa huko. 41Watu wengi wakamjia, nao wakawa wakisema, “Yohana hakufanya muujiza wowote, lakini kila jambo alilosema kumhusu huyu mtu ni kweli.” 42Nao wengi wakamwamini Yesu huko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.