Native Bible

John 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile Baba anavyonijua mimi, nami ninavyomjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.

John 10:15 in English

John 10:15 · Berean Standard Bible

just as the Father knows Me and I know the Father. And I lay down My life for the sheep.

Context

13Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo. 14“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua. 15Kama vile Baba anavyonijua mimi, nami ninavyomjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. 16Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili, inanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu, hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.