Yeremia 7:3
Jeremiah 7:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Tengenezeni njia zenu na matendo yenu, nami nitawaacha mkae mahali hapa.
Jeremiah 7:3 in English
Jeremiah 7:3 · Berean Standard Bible
Thus says the LORD of Hosts, the God of Israel: Correct your ways and deeds, and I will let you live in this place.
Context
1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Simama kwenye lango la nyumba ya Bwana, na huko upige mbiu ya ujumbe huu:
“ ‘Sikieni neno la Bwana, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu Bwana. 3Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Tengenezeni njia zenu na matendo yenu, nami nitawaacha mkae mahali hapa. 4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!” 5Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.