Yeremia 7:1
Jeremiah 7:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:
Jeremiah 7:1 in English
Jeremiah 7:1 · Berean Standard Bible
This is the word that came to Jeremiah from the LORD, saying,
Context
1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Simama kwenye lango la nyumba ya Bwana, na huko upige mbiu ya ujumbe huu:
“ ‘Sikieni neno la Bwana, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu Bwana. 3Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Tengenezeni njia zenu na matendo yenu, nami nitawaacha mkae mahali hapa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.