Native Bible

Jeremiah 6:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanaitwa fedha iliyokataliwa, kwa sababu Bwana amewakataa.”

Jeremiah 6:30 in English

Jeremiah 6:30 · Berean Standard Bible

They are called rejected silver, because the LORD has rejected them.”

Context

28Wote ni waasi sugu, wakienda huku na huko kusengenya. Wao ni shaba na chuma, wote wanatenda upotovu. 29Mivuo inavuma kwa nguvu, kinachoungua kwa huo moto ni risasi, lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; waovu hawaondolewi. 30Wanaitwa fedha iliyokataliwa, kwa sababu Bwana amewakataa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.