Yeremia 6:29
Jeremiah 6:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mivuo inavuma kwa nguvu, kinachoungua kwa huo moto ni risasi, lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure; waovu hawaondolewi.
Jeremiah 6:29 in English
Jeremiah 6:29 · Berean Standard Bible
The bellows blow fiercely, blasting away the lead with fire. The refining proceeds in vain, for the wicked are not purged.
Context
27“Nimekufanya wewe kuwa kitu cha kujaribu chuma,
nao watu wangu kama mawe yenye madini,
ili upate kuzijua na kuzijaribu njia zao. 28Wote ni waasi sugu,
wakienda huku na huko kusengenya.
Wao ni shaba na chuma,
wote wanatenda upotovu. 29Mivuo inavuma kwa nguvu,
kinachoungua kwa huo moto ni risasi,
lakini pamoja na kusafisha kote huku ni bure;
waovu hawaondolewi. 30Wanaitwa fedha iliyokataliwa,
kwa sababu Bwana amewakataa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.