Yeremia 52:26
Jeremiah 52:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Jeremiah 52:26 in English
Jeremiah 52:26 · Berean Standard Bible
Nebuzaradan captain of the guard took them and brought them to the king of Babylon at Riblah.
Context
24Yule jemadari wa askari walinzi akawachukua kama wafungwa Seraya kuhani mkuu, kuhani Sefania aliyefuata kwa cheo, na mabawabu watatu. 25Miongoni mwa wale watu waliokuwa wamesalia katika mji, alimchukua afisa kiongozi wa wapiganaji, na washauri saba wa mfalme. Akamchukua pia mwandishi aliyesimamia uandikishaji wa watu wa nchi, pamoja na watu wake sitini waliopatikana ndani ya mji. 26Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla. 27Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe.
Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao. 28Hii ndiyo hesabu ya watu ambao Nebukadneza aliwachukua kwenda uhamishoni:
katika mwaka wa saba,
Wayahudi 3,023;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.