Yeremia 42:12
Jeremiah 42:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma nanyi na kuwarudisha katika nchi yenu.’
Jeremiah 42:12 in English
Jeremiah 42:12 · Berean Standard Bible
And I will show you compassion, and he will have compassion on you and restore you to your own land.’
Context
10‘Kama mkikaa katika nchi hii, nitawajenga wala sitawabomoa, nitawapanda wala sitawangʼoa, kwani ninahuzunishwa na maafa niliyowapiga nayo. 11Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema Bwana, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mikononi mwake. 12Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma nanyi na kuwarudisha katika nchi yenu.’ 13“Hata hivyo, kama mkisema, ‘Hatutakaa katika nchi hii,’ hivyo mkaacha kumtii Bwana Mungu wenu, 14nanyi kama mkisema, ‘Hapana, tutakwenda kuishi Misri, mahali ambapo hatutaona vita au kusikia sauti ya tarumbeta au kuwa na njaa ya chakula,’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.