Yeremia 29:11
Jeremiah 29:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.
Jeremiah 29:11 in English
Jeremiah 29:11 · Berean Standard Bible
For I know the plans I have for you, declares the LORD, plans to prosper you and not to harm you, to give you a future and a hope.
Context
9Wanawatabiria ninyi uongo kwa jina langu. Sikuwatuma,” asema Bwana. 10Hili ndilo asemalo Bwana: “Miaka sabini itakapotimia kwa ajili ya Babeli, nitakuja kwenu na kutimiza ahadi yangu ya rehema ya kuwarudisha mahali hapa. 11Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo. 12Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza. 13Mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.