Yeremia 28:17
Jeremiah 28:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, nabii Hanania akafa.
Jeremiah 28:17 in English
Jeremiah 28:17 · Berean Standard Bible
And in the seventh month of that very year, the prophet Hananiah died.
Context
15Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! Bwana hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo. 16Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Bwana: ‘Hivi karibuni nitakuondoa kutoka juu ya uso wa dunia. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya Bwana.’ ” 17Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, nabii Hanania akafa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.