Native Bible

Jeremiah 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno la Bwana lilinijia kusema,

Jeremiah 2:1 in English

Jeremiah 2:1 · Berean Standard Bible

Now the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Neno la Bwana lilinijia kusema, 2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi na kunifuata katika jangwa lile lote, katika nchi isiyopandwa mbegu. 3Israeli alikuwa mtakatifu kwa Bwana, kama malimbuko ya kwanza ya mavuno yake; wote waliowaangamiza walihesabiwa kuwa na hatia, nayo maafa yaliwakumba,’ ” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.