Native Bible

Jeremiah 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame:

Jeremiah 14:1 in English

Jeremiah 14:1 · Berean Standard Bible

This is the word of the LORD that came to Jeremiah concerning the drought:

Context

1Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame: 2“Yuda anaomboleza, miji yake inayodhoofika; wanaomboleza kwa ajili ya nchi, nacho kilio kinapanda kutoka Yerusalemu. 3Wakuu wanawatuma watumishi wao maji; wanakwenda visimani lakini humo hakuna maji. Wanarudi na vyombo bila maji; wakiwa na hofu na kukata tamaa, wanafunika vichwa vyao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.