Native Bible

Jeremiah 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.

Jeremiah 10:1 in English

Jeremiah 10:1 · Berean Standard Bible

Hear the word that the LORD speaks to you, O house of Israel.

Context

1Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli. 2Hili ndilo asemalo Bwana: “Usijifunze njia za mataifa wala usitishwe na ishara katika anga, ingawa mataifa yanatishwa nazo. 3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, wanakata mti msituni, na fundi anauchonga kwa patasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.