Native Bible

Judges 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, wakati watu wanapojitoa kwa hiari yao wenyewe: mhimidini Bwana!

Judges 5:2 in English

Judges 5:2 · Berean Standard Bible

“When the princes take the lead in Israel, when the people volunteer, bless the LORD.

Context

1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, wakati watu wanapojitoa kwa hiari yao wenyewe: mhimidini Bwana! 3“Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia Bwana, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi Bwana, Mungu wa Israeli. 4“Ee Bwana, ulipotoka katika Seiri, ulipopita katika mashamba ya Edomu, nchi ilitetemeka, mbingu nazo zikamwaga, naam, mawingu yakamwaga maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.