Native Bible

Judges 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu:

Judges 5:1 in English

Judges 5:1 · Berean Standard Bible

On that day Deborah and Barak son of Abinoam sang this song:

Context

1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, wakati watu wanapojitoa kwa hiari yao wenyewe: mhimidini Bwana! 3“Sikieni hili, enyi wafalme! Sikilizeni, enyi watawala! Nitamwimbia Bwana, nitaimba; kwa wimbo nitamhimidi Bwana, Mungu wa Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.