Waamuzi 4:24
Judges 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao mkono wa Waisraeli ukaendelea kuwa na nguvu zaidi na zaidi dhidi ya Yabini, mfalme wa Kanaani, mpaka wakamwangamiza.
Judges 4:24 in English
Judges 4:24 · Berean Standard Bible
And the hand of the Israelites grew stronger and stronger against Jabin king of Canaan until they destroyed him.
Context
22Baraka akakaribia akimfuatia Sisera, Yaeli akatoka kumlaki. Akamwambia, “Njoo, nitakuonyesha mtu unayemtafuta.” Hivyo wakaingia ndani ya hema wakiwa wamefuatana na tazama Sisera alikuwa amelala humo, akiwa amekufa, na hicho kigingi cha hema kikiwa kimegongomewa kupitia paji la uso wake. 23Basi siku ile Mungu akamshinda Yabini, mfalme wa Kanaani, mbele ya Israeli. 24Nao mkono wa Waisraeli ukaendelea kuwa na nguvu zaidi na zaidi dhidi ya Yabini, mfalme wa Kanaani, mpaka wakamwangamiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.