Native Bible

Judges 21:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.”

Judges 21:11 in English

Judges 21:11 · Berean Standard Bible

This is what you are to do: Devote to destruction * every male, as well as every female who has had relations with a man.”

Context

9Walipohesabu waliona hakuna mtu yeyote wa Yabeshi-Gileadi aliyekuwepo. 10Ndipo mkutano wakatuma askari 12,000 na wakawaamuru kwenda Yabeshi-Gileadi na kuwaua wale wote waishio huko, walikuwepo wake na watoto. 11Wakasema, “Hilo ndilo mtakalofanya. Ueni kila mtu mume na mke ambaye si bikira.” 12Wakakuta kati ya watu walioishi Yabeshi-Gileadi wanawali mia nne ambao hawajakutana kimwili na mwanaume, nao wakawachukua kwenye kambi huko Shilo katika nchi ya Kanaani. 13Ndipo mkutano ukatuma ujumbe wa amani kwa Wabenyamini huko katika mwamba wa Rimoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.