Native Bible

Judges 20:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.

Judges 20:46 in English

Judges 20:46 · Berean Standard Bible

That day 25,000 Benjamite swordsmen fell, all men of valor.

Context

44Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa. 45Walipogeuka na kukimbia kuelekea nyikani hata kufikia mwamba wa Rimoni, Waisraeli wakawaua watu 5,000 wakiwa njiani. Wakawafuata kwa kasi mpaka Gidomu huko wakawaua watu wengine 2,000. 46Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita. 47Lakini watu 600 wakakimbia kuelekea nyikani katika mwamba wa Rimoni, na kukaa huko muda wa miezi minne. 48Waisraeli wakarudi na kuua watu wote wa Benyamini, pamoja na wanyama na kila walichokikuta. Pia kila mji waliouona waliuchoma moto.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.