Native Bible

Judges 20:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa.

Judges 20:44 in English

Judges 20:44 · Berean Standard Bible

And 18,000 Benjamites fell, all men of valor.

Context

42Basi wakakimbia mbele ya Waisraeli kuelekea nyikani, lakini hawakuweza kukwepa vile vita. Nao watu wa Israeli waliotoka katika ile miji wakawaua huko. 43Wakawazingira Wabenyamini pande zote, wakawafuatia na kuwapata hapo walipopumzika katika viunga vya Gibea upande wa mashariki. 44Wakaanguka Wabenyamini 18,000 ambao wote ni mashujaa. 45Walipogeuka na kukimbia kuelekea nyikani hata kufikia mwamba wa Rimoni, Waisraeli wakawaua watu 5,000 wakiwa njiani. Wakawafuata kwa kasi mpaka Gidomu huko wakawaua watu wengine 2,000. 46Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.