Waamuzi 2:9
Judges 2:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi* katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi.
Judges 2:9 in English
Judges 2:9 · Berean Standard Bible
They buried him in the land of his inheritance, at Timnath-heres * in the hill country of Ephraim, north of Mount Gaash.
Context
7Watu wakamtumikia Bwana siku zote za maisha ya Yoshua, na za hao wazee walioishi baada ya Yoshua kufa, waliokuwa wameona mambo makuu ambayo Bwana alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli. 8Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa akiwa na umri wa miaka 110. 9Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi* katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi. 10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. 11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.