Waamuzi 2:11
Judges 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.
Judges 2:11 in English
Judges 2:11 · Berean Standard Bible
And the Israelites did evil in the sight of the LORD and served the Baals.
Context
9Wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Heresi* katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima Gaashi. 10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli. 11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali. 12Wakamwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya Misri. Wakaifuata na kuiabudu miungu mbalimbali ya mataifa yanayowazunguka. Wakamkasirisha Bwana, 13kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.