Native Bible

Judges 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ibzani akafa, akazikwa huko Bethlehemu.

Judges 12:10 in English

Judges 12:10 · Berean Standard Bible

Then Ibzan died, and he was buried in Bethlehem.

Context

8Baada yake, Ibzani wa Bethlehemu akawa mwamuzi wa Israeli. 9Alikuwa na wana thelathini na binti thelathini. Akawaoza binti zake kwa watu wengine nje ya ukoo wake, na kuwatwalia wanawe wanawake thelathini toka nje ya ukoo wake. Ibzani akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka saba. 10Ibzani akafa, akazikwa huko Bethlehemu. 11Baada yake Eloni, Mzabuloni, akawa mwamuzi wa Israeli, naye akawaamua kwa muda wa miaka kumi. 12Kisha Eloni akafa, akazikwa katika Aiyaloni, katika nchi ya Zabuloni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.