Native Bible

Judges 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasidoni, Waamaleki na Wamaoni walipowaonea na ninyi mkanililia na kuomba msaada, je, sikuwaokoa kutoka mikononi mwao?

Judges 10:12 in English

Judges 10:12 · Berean Standard Bible

Sidonians, Amalekites, and Maonites * oppressed you and you cried out to Me, did I not save you from their hands?

Context

10Ndipo Waisraeli wakamlilia Bwana wakasema, “Tumetenda dhambi dhidi yako, kumwacha Mungu wetu na kutumikia Mabaali.” 11Bwana akawaambia, “Wakati Wamisri, Waamori, Waamoni, Wafilisti, 12Wasidoni, Waamaleki na Wamaoni walipowaonea na ninyi mkanililia na kuomba msaada, je, sikuwaokoa kutoka mikononi mwao? 13Lakini ninyi mmeniacha mimi na kutumikia miungu mingine, kwa hiyo sitawaokoa tena. 14Nendeni mkaililie ile miungu mlioichagua. Hiyo miungu na iwaokoe mnapokuwa katika taabu!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.