Waamuzi 10:11
Judges 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akawaambia, “Wakati Wamisri, Waamori, Waamoni, Wafilisti,
Judges 10:11 in English
Judges 10:11 · Berean Standard Bible
The LORD replied, “When the Egyptians, Amorites, Ammonites, Philistines,
Context
9Waamoni nao wakavuka Yordani ili kupigana na Yuda, Benyamini na nyumba ya Efraimu, nayo nyumba ya Israeli ikawa katika taabu kubwa. 10Ndipo Waisraeli wakamlilia Bwana wakasema, “Tumetenda dhambi dhidi yako, kumwacha Mungu wetu na kutumikia Mabaali.” 11Bwana akawaambia, “Wakati Wamisri, Waamori, Waamoni, Wafilisti, 12Wasidoni, Waamaleki na Wamaoni walipowaonea na ninyi mkanililia na kuomba msaada, je, sikuwaokoa kutoka mikononi mwao? 13Lakini ninyi mmeniacha mimi na kutumikia miungu mingine, kwa hiyo sitawaokoa tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.