Native Bible

Judges 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),

Judges 1:23 in English

Judges 1:23 · Berean Standard Bible

They sent spies to Bethel (formerly known as Luz),

Context

21Hata hivyo, Wabenyamini walishindwa kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wanaishi Yerusalemu; hivyo hadi leo Wayebusi huishi humo pamoja na Wabenyamini. 22Basi nyumba ya Yosefu wakashambulia Betheli, naye Bwana alikuwa pamoja nao. 23Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu), 24wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.” 25Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.