Waamuzi 1:24
Judges 1:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”
Judges 1:24 in English
Judges 1:24 · Berean Standard Bible
and when the spies saw a man coming out of the city, they said to him, “Please show us how to get into the city, and we will treat you kindly.”
Context
22Basi nyumba ya Yosefu wakashambulia Betheli, naye Bwana alikuwa pamoja nao. 23Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu), 24wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.” 25Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote. 26Yule mtu akaenda hadi nchi ya Wahiti, ambapo aliujenga mji na kuuita Luzu, ambao ndio jina lake hadi leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.