Yakobo 5:6
James 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi.
James 5:6 in English
James 5:6 · Berean Standard Bible
You have condemned and murdered the righteous, who did not resist you.
Context
4Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Bwana Mwenye Nguvu Zote. 5Mmeishi duniani kwa anasa na kwa starehe, mmejinenepesha tayari kwa siku ya kuchinjwa. 6Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi. 7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho. 8Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.