Native Bible

James 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia.

James 5:8 in English

James 5:8 · Berean Standard Bible

You, too, be patient and strengthen your hearts, because the Lord’s coming is near.

Context

6Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi. 7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho. 8Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia. 9Ndugu zangu, msinungʼunikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni! 10Ndugu zangu, waangalieni manabii walionena kwa Jina la Bwana, ili kuwa mfano wa uvumilivu katika kukabiliana na mateso.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.