Native Bible

James 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu mnapopatwa na majaribu mbalimbali,

James 1:2 in English

James 1:2 · Berean Standard Bible

Consider it pure joy, my brothers, when you encounter trials of many kinds,

Context

1Yakobo, mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo: Kwa makabila kumi na mawili yaliyotawanyika ulimwenguni: Salamu. 2Ndugu zangu, hesabuni kuwa ni furaha tupu mnapopatwa na majaribu mbalimbali, 3kwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. 4Saburi na iwe na kazi timilifu, ili mpate kuwa wakamilifu, mmekamilishwa, bila kupungukiwa na kitu chochote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.