Native Bible

Isaiah 57:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, ambayo haiwezi kutulia, mawimbi yake hutupa takataka na matope.

Isaiah 57:20 in English

Isaiah 57:20 · Berean Standard Bible

But the wicked are like the storm-tossed sea, for it cannot be still, and its waves churn up mire and muck.

Context

18Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, nitamwongoza na kumrudishia upya faraja, 19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 20Bali waovu ni kama bahari ichafukayo, ambayo haiwezi kutulia, mawimbi yake hutupa takataka na matope. 21Mungu wangu asema, “Hakuna amani kwa waovu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.