Native Bible

Isaiah 57:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale waendao kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko walalapo mautini.

Isaiah 57:2 in English

Isaiah 57:2 · Berean Standard Bible

Those who walk uprightly enter into peace; they find rest, lying down in death.

Context

1Mwenye haki hupotea, wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; watu wanaomcha Mungu huondolewa, wala hakuna hata mmoja anayeelewa kuwa wenye haki wameondolewa ili wasipatikane na maovu. 2Wale waendao kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko walalapo mautini. 3“Lakini ninyi: Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! 4Mnamdhihaki nani? Ni nani mnayemcheka kwa dharau, na kumtolea ndimi zenu? Je, ninyi si watoto wa waasi, uzao wa waongo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.