Native Bible

Isaiah 42:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sikieni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona!

Isaiah 42:18 in English

Isaiah 42:18 · Berean Standard Bible

Listen, you deaf ones; look, you blind ones, that you may see!

Context

16Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. Haya ndiyo mambo nitakayofanya; mimi sitawaacha. 17Lakini wale wanaotumaini sanamu, wanaoviambia vinyago, ‘Ninyi ndio miungu yetu,’ watarudishwa nyuma kwa aibu kubwa. 18“Sikieni, enyi viziwi; tazameni, enyi vipofu, mpate kuona! 19Ni nani aliye kipofu isipokuwa mtumishi wangu, na kiziwi kama mjumbe ninayemtuma? Ni nani aliye kipofu kama yeye aliyejitoa kwangu, aliye kipofu kama mtumishi wa Bwana? 20Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.