Isaya 37:34
Isaiah 37:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema Bwana.
Isaiah 37:34 in English
Isaiah 37:34 · Berean Standard Bible
He will go back the way he came, and he will not enter this city,’ declares the LORD.
Context
32Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki,
na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika.
Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote,
ndio utatimiza jambo hili. 33“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru:
“Hataingia katika mji huu
wala hatapiga mshale hapa.
Hatakuja mbele yake na ngao
wala kupanga majeshi kuuzingira. 34Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi;
hataingia katika mji huu,”
asema Bwana. 35“Nitaulinda mji huu na kuuokoa,
kwa ajili yangu mwenyewe,
na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu!” 36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.